melusine8
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 6,299
- 7,748
AiseeMwezini kuna uwepo wa gesi ya Helium-3 ambayo kama itawezekana kuchimbwa na kuletwa Duniani, itaweza kuzalisha nguvu ya nishati yenye nguvu sawa na nishati ya Nyuklia na kutumika Dunia nzima kwa zaidi ya miaka 1,000.