Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiona rafiki yako kila siku anakwambia MADHAIFU ya watu wengine tambua na wewe pia ukiwa mbali naye anasema MADHAIFU yako kuwa makini naye.
 
Kwa mara ya kwanza Wanasayansi wameweza kuona namna Nyota inavyokufa na kutoa mlipuko!

Waliifuatilia kwa takribani siku 130 mpaka inalipuka.

Taarifa zinasema, Ilikua imeshalipuka tayari miaka Milioni 120 iliyopita lakini huku ndio wameweza kuona kwa sasa!
 
Saikolojia: Unapojifunza kitu kipya ili uelewe vizuri zaidi jaribu kumfundisha na mwingine.

Utakumbuka kirahisi na utajifunza mengine mengi zaidi wakati ukiwa unafundisha
 
Urusi: Ni kosa la jinai kumwambia mtoto kuwa watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja (mashoga) wapo duniani. Sheria hiyo ilipitishwa mwaka 2013!
 
Tafiti: Jambo linaloongoza kupangwa na wengi kuanza kufanyiwa kazi kwa mwaka mpya, huwa ni maboresho ya afya (kuanza mazoezi, kupunguza uzito...) na wengi huwa hawatimizi hilo!
 
Pele ndie mchezaji pekee aliefanikiwa kushinda mataji matatu ya kombe la Dunia. Alishinda mwaka 1958, 1962 na 1970!
 
Back
Top Bottom