BASTOY" Hili Ni Gereza Lililopo Nchini Norway Katika Kisiwa cha Bastoy. Gereza Hili Ni Kubwa Lakini Huchukua Takribani Ya Wafungwa 100 Tu, Lengo Ni Kuepusha Msongamano Wa Watu, Wafungwa Wa Gereza Hili Huishi Maisha Ya Kifahari Kama Kucheza Tenesi, Kuotea Jua Na Kupanda Farasi. Pia Kila Mfungwa Hupewa Marupurupu Ya Dola $90 kila Mwezi Pia Hulipwa Dola $8 Kila Siku Kwa Kazi Wazifanyazo Huko Jela. Unaweza Sema Wanafanyiwa Kutokana Na Makosa Madogo Hapana, Lakini Bastoy Wapo Watu Wameua, Wamebaka Pia. Yote Haya Hufanywa Kutokana Na Serikali Ya Norway inaamini Kuwa Uhuru Na Furaha Ya Mtu Ni Muhimu Zaidi