Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Blue Monday' Ni siku maalumu ambayo hupewa Jumatatu, huwa Ni mwezi Januari na mara nyingi huangukia Jumatatu ya wiki ya tatu katika mwezi huo. Sababu ya kuipa jina hilo, inasemekana hiyo ndio siku ambayo watu huwa na hali mbaya zaidi kuanzia kifedha na mambo mengine!
 
South Korea: Ni kosa la jinai kumuonea huruma Kim Jong-un, kiongozi wa North Korea. Hata kuchapisha taarifa zake tu za kawaida katika blogu' kunaweza kukuweka matatani!
 
Tafiti: Ubongo hufanya kazi ya kibunifu zaidi pale unapokuwa umechoka.

Sababu, Ubongo unakuwa hauna nguvu kubwa tena ya kuweka mkazo kwenye mambo mengi hivyo lazima utafikiria tu kwa umakini katika jambo unalolifanyia kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…