Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Raia mmoja wa Uchina ameiambia mahakama kuwa alimuua mpenzi wake Mwafrika baada ya kumtema licha ya kumtumia milioni 60 Fran Greg-Quangrong amesema mwanamke huyo alitema na kukataa kushika simu zake licha ya kusukuma kiasi hicho cha pesa katika akaunti yake Iwapo Fran Greg-Quangrong atahukukiwa basi atakabiliwa na kifungo cha maisha gerezani
 
BASTOY" Hili Ni Gereza Lililopo Nchini Norway Katika Kisiwa cha Bastoy. Gereza Hili Ni Kubwa Lakini Huchukua Takribani Ya Wafungwa 100 Tu, Lengo Ni Kuepusha Msongamano Wa Watu, Wafungwa Wa Gereza Hili Huishi Maisha Ya Kifahari Kama Kucheza Tenesi, Kuotea Jua Na Kupanda Farasi. Pia Kila Mfungwa Hupewa Marupurupu Ya Dola $90 kila Mwezi Pia Hulipwa Dola $8 Kila Siku Kwa Kazi Wazifanyazo Huko Jela. Unaweza Sema Wanafanyiwa Kutokana Na Makosa Madogo Hapana, Lakini Bastoy Wapo Watu Wameua, Wamebaka Pia. Yote Haya Hufanywa Kutokana Na Serikali Ya Norway inaamini Kuwa Uhuru Na Furaha Ya Mtu Ni Muhimu Zaidi
 
Mwanaume Mmoja Kutoka Marekani Baada Ya Kuachana Na Mke Wake na Kesi Kufika Mahakamani, Mwanaume Huyo Alitakiwa Amjengee Mke wake Huyo Nyumba Kama Moja Ya Makubaliano Ya Kutalakiana, Lakini Amri Hiyo Haikuwa imesema Ni Wapi Nyumba ijengwe Ndipo Mwanaume Huyo Alipo Amua Kwenda Kujenga Mbali Kabisa, Porini Karibu Na Pwani Ya Bahari pia Alimuunganishia Maji ya Chumvi Ndani Ya Nyumba Hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…