Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,724
Kigezo Cha Timu kubwa lazima ichukue UCL umekitoa kichwan mwako au kupitia UEFA.COM au FIFA?Hiyo iliyofika robo fainali Africa ni kubwa kwasababu hakuna timu ya Tanzania iliyochukua huo ubingwa. Sasa utasemaje arsenal au man city ni timu kubwa wakati haijawai kuchukua ubingwa wa uefa. Hapo england timu kibao tu zimechukua huo ubingwa. Kuanzia Nottingham forest, man u, Liverpool, na wengine