Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huweza kuzuia saratani
Tunda la embe limesheheni kemikali kama vile methylgallat, astragalin, isoquercitrin, fisetin, quercetin na gallic acid ambazo kwa pamoja zinazuia kutokea kwa maradhi ya saratani. Utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa pectin inayopatikana kwenye maembe huvuruga utendaji kazi wa galectin 9 ambayo hupatikana kwenye seli za saratani
Safiiii sana Embe..
 
Sasa mkuu kuna timu hapa bongo yenyewe inasema ni kubwa Africa kisa imefika robo final ya CAF ina comment vipi hapo??[emoji3][emoji3]
Hiyo iliyofika robo fainali Africa ni kubwa kwasababu hakuna timu ya Tanzania iliyochukua huo ubingwa. Sasa utasemaje arsenal au man city ni timu kubwa wakati haijawai kuchukua ubingwa wa uefa. Hapo england timu kibao tu zimechukua huo ubingwa. Kuanzia Nottingham forest, man u, Liverpool, na wengine
 
IMG_1806.jpg
 
Back
Top Bottom