Arsenal ni kubwa sana kuliko Man city. Labda kama wewe ni mtoto wa juziMashabiki wa Arsenal wameshaanza kujihami dhidi ya Man City[emoji1487]!!
View attachment 2493703
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Arsenal ni kubwa sana kuliko Man city. Labda kama wewe ni mtoto wa juziMashabiki wa Arsenal wameshaanza kujihami dhidi ya Man City[emoji1487]!!
View attachment 2493703
Ndiyo ukweli wenyewe Arsenal ni kubwa kuliko Man city sasa ni hiyari yako kubali kataa..Sawa, time will tell
As long as ni kali na kaitendea haki sina tatizo naeHivi MASHABIKI wa diamondplatnumz mnajisikiaje mnapoambiwa au kusikia msanii wenu ka'copy nyimbo sehemu na nyie mkijua ni yake? 😎
Ndiyo ukweli wenyewe Arsenal ni kubwa kuliko Man city sasa ni hiyari yako kubali kataa..
Kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye ANATHAMINI kila unachokifanya kwa ajili yake ni baraka ya kutosha ambayo hutakiwi kuichezea[emoji2973]!!
Timu kubwa ni zile zilizowai kuchukua ubingwa wa uefa. Hizo zote ulizitaja ni timu ndogoArsenal ni timu kubwa kuliko Man city.
SawasawaKumbuka! Afya njema ya ubongo inamaanisha uwezo mzuri wa kumbukumbu.