Pac-Man
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 465
- 743
JF waweke na kitufe cha "dislike"
Kilikuwepo kikaharibika JF fundi anatuzungusha kuna skruu yake moja imekuwa adim
JF waweke na kitufe cha "dislike"
Huweza kuzuia saratani
Tunda la embe limesheheni kemikali kama vile methylgallat, astragalin, isoquercitrin, fisetin, quercetin na gallic acid ambazo kwa pamoja zinazuia kutokea kwa maradhi ya saratani. Utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa pectin inayopatikana kwenye maembe huvuruga utendaji kazi wa galectin 9 ambayo hupatikana kwenye seli za saratani
Huboresha kinga mwili
Kinga mwili inahitaji vitamini A na C ili kujijenga na kujiimarisha. Hivyo ulaji wa matunda ya embe utakupatia vitamini hizi zinazopatikana kwenye matunda haya kwa wingi.