Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa njia moja au nyingine wafanyakazi wenzako au marafiki zako wanaweza kukuzuia kukamilisha kazi zako.
SawasawaUnapolala sana unakosa muda wa kutosha kutimiza majukumu yako. Pia kulala muda mrefu hukufanya uamke ukiwa umechoka na kukufanya ukose ari na motisha wa kufanya kazi.