Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_1766.jpg
 
Hiyo iliyofika robo fainali Africa ni kubwa kwasababu hakuna timu ya Tanzania iliyochukua huo ubingwa. Sasa utasemaje arsenal au man city ni timu kubwa wakati haijawai kuchukua ubingwa wa uefa. Hapo england timu kibao tu zimechukua huo ubingwa. Kuanzia Nottingham forest, man u, Liverpool, na wengine
Nottingham wameshawah kubeba UEFA nao ni team kubwa??
 
Back
Top Bottom