Chapati Kubwa Zaidi kutengenezwa!
October 8 2010, katika nchi ya Uturuki, wapishi zaidi ya 50 walikusanyika kwa pamoja na kutengeneza chapatti ya mayai yenye uzito wa tani 6 (Uzito wa gari kubwa). Chapatti hiyo ilichanganywa mafuta lita mia nne (400), na Mayai zaidi ya laki moja (100,000