Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unatakiwa Kujua kupika
sijakuelewa hiyo imoji ni kwamba unatafuta basha au.Wengine furaha tuliyonayo sio kwamba tuna kila kitu, bali tulifunzwa kushukuru na kuridhika kwa kile KIDOGO tunachopata. [emoji108]
"Kuridhika" ni kauli ya kujifariji na Umaskini.Wengine furaha tuliyonayo sio kwamba tuna kila kitu, bali tulifunzwa kushukuru na kuridhika kwa kile KIDOGO tunachopata. [emoji108]
AiseeWatu wengi zaidi Kupiga Mswaki kwa wakati mmoja.
Katika mji wa Manila Nchini Philippines, wanafunzi 10,800 walikusanyika pamoja kupiga mswaki na kutema kwenye kikombe kwa wakati mmoja!