Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kujiepusha na magonjwa mbalimbali hasa yanayotokana na bacteria yanayoweza kutokana na kuazima kalamu au kutumia kalamu za jumuia mfano benki, mashuleni nk
Kweli..Kuharakisha mambo!. Ni mara ngapi umekwenda kulipia sehemu mara karani anapoteza dakika tano akitafuta kalamu yake? Au unajaza fomu na inabidi watu watano msubiri kalamu moja!