myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeMayai Mengi zaidi kupasuliwa kwa kichwa kwa wakati mmoja.
Ashrita Furman anashikilia rekodi ya kupasua mayai 80 kwa kichwa kwa wakati mmoja!
SawasawaUnatakiwa kujua mbinu kadhaa fupi za kuokoa maisha yako au mwingine mfano, kuogelea kumpa mtu pumzi aliyepata ajali nk. (kujua kutoa Huduma ya kwanza)
Kweli kabisa hii..Unatakiwa Kujua kupika