Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kujiepusha na magonjwa mbalimbali hasa yanayotokana na bacteria yanayoweza kutokana na kuazima kalamu au kutumia kalamu za jumuia mfano benki, mashuleni nk
 
Kuharakisha mambo!. Ni mara ngapi umekwenda kulipia sehemu mara karani anapoteza dakika tano akitafuta kalamu yake? Au unajaza fomu na inabidi watu watano msubiri kalamu moja!
 
Kuharakisha mambo!. Ni mara ngapi umekwenda kulipia sehemu mara karani anapoteza dakika tano akitafuta kalamu yake? Au unajaza fomu na inabidi watu watano msubiri kalamu moja!
 
Itakupa uwezo wa kukumbuka vitu vidogo! Kwa mujibu wa wataalamu wa mabo ya saikolojia, ni rahisi kukumbuka kitu unapoandika kingine. Pia hukupa uwezo wa kupambanua mawazo yako!
 
Kubeba kalamu yako hukusaidia kutozubaa/kulala usingizi unapokuwa kwenye mikutano au vikao mbalimbali kwan utautumia muda wako kuwa makini kusikiliza ili upate vitu Muhimu vya kunakili.
 
Kunakiri wazo Muhimu unalolifikiria. Ukifanya hivi kila siku utajikuta una hazina kubwa sana ya mawazo mazuri na kubadili maisha yako!
 
Kunakiri wazo Muhimu unalolifikiria. Ukifanya hivi kila siku utajikuta una hazina kubwa sana ya mawazo mazuri na kubadili maisha yako!
 
Hukuongezea ubunifu hasa unapokuwa mpweke au umechoka, jaribu kuchora vidoti mbalimbali, viunganishe kwa namna mbalimbali, utajikuta umepata wazo Fulani ambalo pengine halikuwemo kichwani mwako
 
Hukuongezea wasifu wako mbele za watu. Licha ya kalamu yako kukupa uchangamfu, pia kalamu hiyo hiyo itakufanya uonekana mtu makini na muelewa
 
Ni Herufi “S” ndio inayotumiwa kwenye maneno mengi zaidi kuliko herufi nyingine yoyote
 
pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis'”
Ndilo neno refu zaidi kwenye lugha ya kiingereza! Ni jina ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na vumbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…