myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wasafiri mfike salama muendako, jioni njema kwenu..
Sawasawaset”
Ndilo neno lenye maana nyingi zaidi katika maneno yote ya kiingereza
Aisee..Rhythm”
Ndilo neno refu zaidi la kiingereza lisilo na irabi (a, e, i, o, u) hata moja
Hiyo sina jirani..Thalassophobia – Hii ni hofu ya bahari; mawimbi, maji na wanyama wake.