myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
11:23
AMUN RAMorning Mbarikiwe
Kichwa kichafu ndio sawaNina propose ninja wangu id yake iwe JOKER (jokeri)
Achana na urithi tavuta zakoKama hiyo Avatar ni wewe,acha nianze kuuza mali zangu za urithi na kuanza kukutupia ndoano.
Kunde na makandeMla mla leo,mla jana kala nini?
AMUN RAAMUN RA
Arusha kama Geveva my QueenDar es Salaam kama Geneva
Always bia ni tamuMlevi atakwambia "Bia ni tamu kuliko Juice ya Embe"
Matumaini hewa ndio yapiNi kweli kabisa hata kiwandani wanajua
Mimi nimejenga siku nyingi Leo wajenge wenginePamoja na like zenu, msisahau jukumu lenu LA kujenga taifa
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app