Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rais Wa Marekani, Donald Trump Juzi Alitoka Nje Ya Mkutano Wa G20 Huko Berlin, Ujerumani Na Kiti Chake Kukaliwa Na Mwanae Wa Kike Ivanka Trump Pale Ulipofika Muda Wa Kujadili Masuala Ya Afrika Na Ajenda Hiyo Ilipomalizika Alirejea Mkutanoni, Na Kudai Hawezi Kupoteza Muda Kuwajadili Watu Walioshindwa Kujitawala.

Unadhani Trump Yupo Sahihi?
Kichwa maji kabisa, taifa lao lilishiriki kupora raslimali zetu leo anatuona vikatuni...

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom