Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mwambie huyo Dada ukimuona apumzishe mwili wake
Amesema itanoga?Ameshajibu shemeji[emoji121]
Hayaaa ngoja nimtafuteMuulize itanoga nn.
Aisee Shemeji hata ww ugali wa dona unakulaga??? DuuhTena ya njano na ugali wa dona
Umeulizwa itanoga nini?Amesema itanoga?
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Anataka ushauri[emoji1] [emoji1]Eeeeeh
Basi usikomenti humu
Naupenda sana haswa niupike mwenyeweAisee Shemeji hata ww ugali wa dona unakulaga??? Duuh
Hata cjuiUmeulizwa itanoga nini?
toa likes nawe upate
Badili slogan unakimbiza wagen humu. Tusilazimeshe sana watu wanaokuja kwa namna hiitoa likes nawe upate
Mi nikajua unakuumizaga tumboNaupenda sana haswa niupike mwenyewe
Kwa hiyo wao walaikiwe sisi hawatulaiki?Badili slogan unakimbiza wagen humu. Tusilazimeshe sana watu wanaokuja kwa namna hii
nakubali,,toa ushauri..zingatia maudhuiBadili slogan unakimbiza wagen humu. Tusilazimeshe sana watu wanaokuja kwa namna hii