Hahahaha usiombe hiyo hali ikukute kanisani af unemaliza kubadilishana namba za simu na mshiriki pembeni yako unakuwa unajisikia kama umekaa na kinyesi mfukoni😀😀😀Hahahaa nataman nijue ulichokumbuka haha
Huwa hawapend kuambiwa ukweliMwambie huyo Dada ukimuona apumzishe mwili wake
Hahahahaa aiseeHahahaha usiombe hiyo hali ikukute kanisani af unemaliza kubadilishana namba za simu na mshiriki pembeni yako unakuwa unajisikia kama umekaa na kinyesi mfukoni😀😀😀
Hahahaha ha ha tangu O level nakula dona na maharage yenye wadudu weusi na weupe wanaoelea mpaka leo nishauzoeaMi nikajua unakuumizaga tumbo
itakuwa maana yote imepotea...Kwa hiyo wao walaikiwe sisi hawatulaiki?
Halafu muhibiri amekazia dhambi ya uzinziHahahahaa aisee
Lets chat bila kuweka hii kitu. Maana kuna wengi walikuja humu kwa ajili ya kuwa nasi ila wameboreka kwa kukumbushwa kila saa wakat wanatoa like vizuri tu sema hawakuwa wanawafikia baadhi ya watunakubali,,toa ushauri..zingatia maudhui
Upike bhasi leoNaupenda sana haswa niupike mwenyewe
Halafu muhibiri amekazia dhambi ya uzinzi
Jitahidi umwambie mara nying nying.Huwa hawapend kuambiwa ukweli
Ogopa sanaHahaha mwisho anamalizia sadaka ziwe nying