Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I mean sio kila saa kumfata mtu atoe like ni sawa na umeingia kwenye dala dala kabla hata hujakaa au kusimama vizur unaambiwa toa nauli,ukijibu subiri nikae au nisimame vizuri unaporomoshewa maneno kede kede utajisikiaje? Ndo humu siku hizi wanaokuja wafanyiwa hivi,jaribu kuchunguza utaona

Ni uzi wa wote,hata mie mwanzon mwa uzi page ya kwanza sikua na mpango wa kumpa mtu like zaid ya kupewa ila baadae nikabadilika
Kwa hiyo wao walaikiwe sisi hawatulaiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…