cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
IsisAmina mtengeti
Si shidaNi lini umelala kabisa ukapata usingizi wa kutosha na ukajihisi kweli umepumzika? Uzi huu ni shida mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes my dearIsis
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Mi mwalimu siku ya kunipokea Alevel si anachukua chil yangu nilim mind sanaNilikuwa sikosi nikijazia na mango pickle kwa wingi najikuta kama nakula ugali na rost wale wadudu wanakuwa watamuu
Ikifika saa tatu usiku zima kila kitu halafu uchape uzingizi mkuu. Inawezekana hata kama ukiota unagonga likes we jikaze tu usiiguse simu kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]😀😀😀😀😀😀kumbe siko peke yangu😀😀😀😀dah afadhali wahanga ni wengi
Unaondoa au unaongeza?Si shida
Huu uzi unaondoa mawazo kabisa!
numbisa wewe ndie tunaekutegemea stori na picha, unachangamsha jukwaa.. sisi tunawakaba wadoezi wa 'likesKukumbusha si mbaya ila sio kila saa au kila dakika. Tuletee basi habari na stories ili tuburudike huku tunakula likes.
Upo best miss u jmnYes my dear