Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
numbisa wewe ndie tunaekutegemea stori na picha, unachangamsha jukwaa.. sisi tunawakaba wadoezi wa 'likes
tusipokumbusha - labda heading pale juu na maudhui yabadilike..
Hahahaha kwa
🙂🙂Haya ndo maudhui sijaona ninachokisemea. Anyway mie nimetoa ushauri tu
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Snoop dogg wa sasa ni muhenga aiseee
usijali,, tuko hapa kufurahi..umeeleweka sana, pamoja sanaHaya ndo maudhui sijaona ninachokisemea. Anyway mie nimetoa ushauri tu
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa hata ukicomment herufi moja tu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Nimeshindwa kuona kifaa nimejitahidi nimeishia kuso tattooEti hiki kifaa anachotumia huyu mama kinaitwaje?![]()
slogan unayoikataa ndio imebadilisha wengi..sasa wanacheza muziki wetu, na tunawakumbusha wageni wanaodandia 'likes,
sio wale wa kila siku wanaoelewa. mkuu mmoja kaja kuuliza ufugaji wa kuku wakati lipo jukwaa lake