Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]usijali,, tuko hapa kufurahi..umeeleweka sana, pamoja sana
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]usijali,, tuko hapa kufurahi..umeeleweka sana, pamoja sana
Safi sana mkuuMkuu natarajia kuhamia hapo karibuni
Sijaikataa ila nakumbusha ipunguzwe sio kila saa hiyo hiyo
Kuuliza sio ujinga mkuu,mbona kuna wengine wanaulizia masuala mbalimbali humu na wanajibiwa. Ina maana hairuhusiwi kuchat humu?just ni kumjibu fresh anajikata mwenyewe akipenda anabaki na kuwa mdau bora kabisa wa like
kuna mth aliomba kufundishwa kuweka rangu kwenye post na akafundishwa humh wakati kuna jukwaa lake huko
Kula likes mkuu. Na wewe mwaga likes bila hiana!Everton
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Mi ninayo coco. ....Sina maneno
7777
Kabisa! Mi nasubirisha methali. Nazipenda sana!Sina maneno
Wakiona post zao zimekosa wachangiaji kule wanataka kuleta utumwa wa mawazo yao hapa. Hapa ni like tu mengine hatutakipamoja mkuu
tumehama kwenye stress wanataka kuzileta huku.. hapa = stress free
Kwema Carba?[emoji144][emoji144]
Kama kawamaisha yanasonga mbele
Hongera mkuu kwa kujikomboa
Toa upewe likeNimemis like