Iko poa tu, chamsingi apate dawa ya usingizi mengine ni mbwembwe tu
Kamata like nawewe mkuu, namhala kashi uli Shimba ya buyenzeKula likes mkuu. Na wewe mwaga likes bila hiana!
Hakuna namnaWacha tulisongeshe
Kwema kabisa,habari yakoKwema Carba?
HahahahaWakiona post zao zimekosa wachangiaji kule wanataka kuleta utumwa wa mawazo yao hapa. Hapa ni like tu mengine hatutaki
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Aiseeh.
Kazi kweli kweli
Kula ni K, kulala ni K, kuamka pia ni K. Mdharau K atakuwa ni K mkubwaK ni k
Kafanyiwa surgery ya kuongeza takoAiseeh.
Msambwanda amuokota wapi.
Itakuwa ulikuwa unaota kama mmea[emoji23] [emoji23] [emoji23]