Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilikua naleta links humu sikuambiwa peleka kule huku likes only. kwa nn wengine wanajibiwa ndivyo sivyo?
Hakuna aliekataza chochote huku..ila kuwaambia watu watoe likes ni kawaida..pengine kuna wemekulalamikia!! Ni kawaida hatuwezi kufanana humu. Kila MTU ana namna angependa awe maarufu humu..kwa posti au kwa stories..ila si kuacha dhana ya kupeana likes eti kwa kuwa wengine wanalalamika..
 
Hahaha wala sijakasirika nipo peace mno nimeandika tu. Siku nikikasirika utajua tu. Ila waambie basi wapunguze wanatufukuzia wagen. Mfano mahodaw asubuh alikua anatoa like vizur tu ila neno toa like lilimfata kila kona
Numbisa Hata Mimi napita majukwaa mengine na kuchangia..uliemtaja ana Uzi wake nimeuchangia..kwa maudhui ya kule..Kule hakuna mwito wowote wa kuchangia..kila jambo tulipe mahali pake
 
Ndio,poa
Aah bana umaarufu tumuachie ISIS,hakuna aliyewah kuota ataongoza kwa like Jf nzima. Nataman mmoja amuanzishie uzi wa hongera(sipo vizuri kwenye kushuka mistari ningeanzisha)iwe chit chat au jukwaa la pongezi. She deserves a big congratulation. Am proud of this thread imetuletea heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…