Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
Ahsante sana ndugu yangu.Nimekukumbuka sanaKaribu
Salama mkuu,kwema huko?habari za jioni wapendwa??
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Salamahabari za jioni wapendwa??
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Salama za kwakohabari za jioni wapendwa??
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
AminaHabari ya majukumu ya leo ndugu zangu,nimewakumbuka sana kwa upendo wenu.Tunafarijiana tunapokuwa kwenye shida,Mungu aendelee kutuunganisha zaidi na zaidi
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Nashukuru sana,nsamaka hajambo?Ahsante sana ndugu yangu.Nimekukumbuka sana
Nimependa unavyo limaliza tatizo[emoji122] [emoji122] [emoji122],unaukumbuka ushauri ulioutoa kwa mkuu mambo mwanzo kabisa wa huu Uzi?Muongozo ulioutoa siku ile ndio uliotufikisha hapa.Ahsante kwa myoyambendi kwa kusimamia dhana ya uzi wetu.Familia yetu imeongezeka sana,tuishi kwa akili sana ili tusisambaratike.Ndio,poa
Aah bana umaarufu tumuachie ISIS,hakuna aliyewah kuota ataongoza kwa like Jf nzima. Nataman mmoja amuanzishie uzi wa hongera(sipo vizuri kwenye kushuka mistari ningeanzisha)iwe chit chat au jukwaa la pongezi. She deserves a big congratulation. Am proud of this thread imetuletea heshima
Nahitaji kikao,kuna mbaba mmoja wa pwani anaitwa moud gulf,nimeona amemrubuni kwa ng'ombe 10 walioshiba.nsamaka anaolewa kwa mume wa pili tena[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]Nashukuru sana,nsamaka hajambo?
Pole nyani wa kaleHivi tunaedit jina vipi maana nimejichanganya sio Nyanu ni Nyani sasa nashindwa kurekebisha
Nyani wa Kale