Nzuri sanahabari za jioni wapendwa??
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Well saidNimependa unavyo limaliza tatizo[emoji122] [emoji122] [emoji122],unaukumbuka ushauri ulioutoa kwa mkuu mambo mwanzo kabisa wa huu Uzi?Muongozo ulioutoa siku ile ndio uliotufikisha hapa.Ahsante kwa myoyambendi kwa kusimamia dhana ya uzi wetu.Familia yetu imeongezeka sana,tuishi kwa akili sana ili tusisambaratike.
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Daa jamani hapa ni sehemu ya burudani, kila aingiaye ajue tu moja kati ya comment za member hapa ni utani tu. Mtu akisema like haina maana anashurutishwa ni burudani tu. Numbisa naomba ufunge mjadala tuendelee na burudani zetuHahaha wala sijakasirika nipo peace mno nimeandika tu. Siku nikikasirika utajua tu. Ila waambie basi wapunguze wanatufukuzia wagen. Mfano mahodaw asubuh alikua anatoa like vizur tu ila neno toa like lilimfata kila kona
Nzuri tu mzima carbNipo habar
Doooh!!pole sana naona wamekuzid ujanjaNahitaji kikao,kuna mbaba mmoja wa pwani anaitwa moud gulf,nimeona amemrubuni kwa ng'ombe 10 walioshiba.nsamaka anaolewa kwa mume wa pili tena[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Thanks, ubarikiwe my dear!Ndio,poa
Aah bana umaarufu tumuachie ISIS,hakuna aliyewah kuota ataongoza kwa like Jf nzima. Nataman mmoja amuanzishie uzi wa hongera(sipo vizuri kwenye kushuka mistari ningeanzisha)iwe chit chat au jukwaa la pongezi. She deserves a big congratulation. Am proud of this thread imetuletea heshima
Nasikia ushaiba muke ya andjulNzuri tu mzima carb
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
nzuri kabisa nipo hapa kutoa likes...[emoji4] chukua like yako kabisaSalama za kwako
pokea likeSalama
Sent from my Siemens A-35 using JamiiForums mobile app
kwemaaaa kabisa....pata likeSalama mkuu,kwema huko?
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Asante sanaHabari ya majukumu ya leo ndugu zangu,nimewakumbuka sana kwa upendo wenu.Tunafarijiana tunapokuwa kwenye shida,Mungu aendelee kutuunganisha zaidi na zaidi
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
pokea like mamaNzuri sana