Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Well said
 
Hahaha wala sijakasirika nipo peace mno nimeandika tu. Siku nikikasirika utajua tu. Ila waambie basi wapunguze wanatufukuzia wagen. Mfano mahodaw asubuh alikua anatoa like vizur tu ila neno toa like lilimfata kila kona
Daa jamani hapa ni sehemu ya burudani, kila aingiaye ajue tu moja kati ya comment za member hapa ni utani tu. Mtu akisema like haina maana anashurutishwa ni burudani tu. Numbisa naomba ufunge mjadala tuendelee na burudani zetu

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Thanks, ubarikiwe my dear!
Ni wachangiaji wote wa uzi huu ndiyo wanao stahili pongezi! Na mchango wako pia my dear!
Believe me, tuendelee hivi hivi tu! Hamna haja wa uzi mwingine! Thanks for your kind consideration my dear!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…