Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anayehitaji MTU wa kumsaidia ktk shughuli za usimamizi wa petrol station kwa maana kusoma pump baada ya mauzo na ana uzoefu huo kwa miaka mitano na elimu yake ni form four na amesomea biashara na computer ila hajui namna ya kujiunga kwenye jf
 

Attachments

  • IMG_1783.jpg
    IMG_1783.jpg
    43 KB · Views: 22
Una kumbukumbu jaman. Tupo pamoja
Nimependa unavyo limaliza tatizo[emoji122] [emoji122] [emoji122],unaukumbuka ushauri ulioutoa kwa mkuu mambo mwanzo kabisa wa huu Uzi?Muongozo ulioutoa siku ile ndio uliotufikisha hapa.Ahsante kwa myoyambendi kwa kusimamia dhana ya uzi wetu.Familia yetu imeongezeka sana,tuishi kwa akili sana ili tusisambaratike.

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom