imo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unatafuta povu la omo
Na mimi nimemuuliza hili swali inaonekana andjul anashida haiwezekan akimbiwe yeye tu tena hii ni mara ya pili[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa na wewe una tatizo gani shemeji? Mkeo kuwa anachukuliwa mara kwa mara. Tatizo ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Moudgulf kesha nimaliza kwa ten ng'ombesTangu niache kazi ya uzee wa data mambo yananipita sana. Nsamaka kachukuliwa tena?
[emoji23] [emoji23] pole sana ila kila siku unakimbiwa wewe tu??Aliishia kwa moudgulf baada ya kumrubuni kwa ng'ombe 10(sijui nimejibu sahihi? Nahisi kuchanganyikiwa vilee)
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kafuata dadaako mwenyewe hukooo sijui Msalala?Hao ng'ombe kapewa nani? Mbona mi sina taarifa?
Nimechekaaa amejua ni cheti
Waafrika sisi wa kupelekeshwa tu kama midori. Hovyo kabisa. Si ajabu hiyo Miss Mbantu ilikosa wafadhili.Upuuzi tu na sisi tunaiga sijui hata ile miss bantu iliishiaga wapi
U busy wa kumtafutia hela,vijana wa pwani wapo busy kuliwaza wake zetu,tutafika kweli??Sasa na wewe una tatizo gani shemeji? Mkeo kuwa anachukuliwa mara kwa mara. Tatizo ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
We Numbisa we Mungu Anakuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Soda tamuuView attachment 540703
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji hakika unajaliNikiona hivi umekuwa na busara ghafla basi likely ni matatizo ya ndoa. Vyovyote vile asante kwa upendo na busara zako!