Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Keki na maisha ya mbelenBi harusi anaonekana ana mawazo duuh
Keki na maisha ya mbelenBi harusi anaonekana ana mawazo duuh
Niaje kutokujua tu,konyagi ni mwanamke mzuri sanaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unapunguza mawazo ya kuachwa kwa mara ya pili
[emoji23] [emoji23] umenikumbusha ile vita ya kina kichwa na mchina iliishia wapi vile?Hamna,mabazazi yameamua kujiinua tu
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Hao ng'ombe kapewa nani? Mbona mi sina taarifa?Nahitaji kikao,kuna mbaba mmoja wa pwani anaitwa moud gulf,nimeona amemrubuni kwa ng'ombe 10 walioshiba.nsamaka anaolewa kwa mume wa pili tena[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Yani anawaza daah!maisha hayaKeki na maisha ya mbelen
AiseeehNiaje kutokujua tu,konyagi ni mwanamke mzuri sanaaa
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Sasa na wewe una tatizo gani shemeji? Mkeo kuwa anachukuliwa mara kwa mara. Tatizo ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23]Nahitaji kikao,kuna mbaba mmoja wa pwani anaitwa moud gulf,nimeona amemrubuni kwa ng'ombe 10 walioshiba.nsamaka anaolewa kwa mume wa pili tena[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Keki hiomikate gani mikubwa hivi?
Aliishia kwa moudgulf baada ya kumrubuni kwa ng'ombe 10(sijui nimejibu sahihi? Nahisi kuchanganyikiwa vilee)Upuuzi tu na sisi tunaiga sijui hata ile miss bantu iliishiaga wapi
Nikiona hivi umekuwa na busara ghafla basi likely ni matatizo ya ndoa. Vyovyote vile asante kwa upendo na busara zako!Habari ya majukumu ya leo ndugu zangu,nimewakumbuka sana kwa upendo wenu.Tunafarijiana tunapokuwa kwenye shida,Mungu aendelee kutuunganisha zaidi na zaidi
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Hahahaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi hatuna mwanafunzi hapa??
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app