ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Tungeachana kabisa na mambo ya umiss!Waafrika sisi wa kupelekeshwa tu kama midori. Hovyo kabisa. Si ajabu hiyo Miss Mbantu ilikosa wafadhili.
Hawana pesa ya kui run yaani ni kuwa aibisha tu vidada