Na ukute kasafisha hadi choo cha nyumba ya kupanga wakat sio zamu yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] bae anaweza pata presha na hasa kama hafanyagi usafi
Na mimi nimemuuliza hili swali inaonekana andjul anashida haiwezekan akimbiwe yeye tu tena hii ni mara ya pili[emoji23] [emoji23] [emoji23]