Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Usingizi mnono kwa wote mnaolala!
Usiku mwema wote
Ulale salama.Poa poa kesho nitarusha
Nimeingia kuchungulia alerts.
Nawe piaUlale salama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajihami et eeh?
Huyo balaa analo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nsamaka jasiri sana,ndio maana sina wasi wasi,atarudi tu.[emoji23][emoji23][emoji23]. Hii haijawahi tokea. Mwolewaji kula mahari? Aisee hii kali!
[emoji818] [emoji818] [emoji818]Tuote ndoto za ushindi tu
HahahahaBongo muvi![]()
Pichu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Zawadi ya mwanafunzi boraView attachment 540698
Lala unonoUsiku mwema wote
Na kweli ni jasiri shemeji. Bila shaka mnajuana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nsamaka jasiri sana,ndio maana sina wasi wasi,atarudi tu.
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Kwenye watsup call ya bibi tifaa full kukawekea maneno eti kanamuita aunt kila kamuonapoHa ha haaa
Ungeiona snapchat yake kideo Tiffa na mdogo wake wamekodoa macho ya nyie akina nani...aaaagh
Hawawezi kurusha kideo hicho labda watu wawe wamekinasa eeeeeeh
Unaongea na simuNo yake ni 0714400414 yuko Tayari kwenye petrol station ya kampuni yeyote wadau anahitaji msaada wenu
Sent from my itel it1556 using JamiiForums mobile app
Ndio nimekuelewa samahani kwa text ya mwanzoAnayehitaji MTU wa kumsaidia ktk shughuli za usimamizi wa petrol station kwa maana kusoma pump baada ya mauzo na ana uzoefu huo kwa miaka mitano na elimu yake ni form four na amesomea biashara na computer ila hajui namna ya kujiunga kwenye jf
Sent from my itel it1556 using JamiiForums mobile app