Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Habari ya majukumu ya leo ndugu zangu,nimewakumbuka sana kwa upendo wenu.Tunafarijiana tunapokuwa kwenye shida,Mungu aendelee kutuunganisha zaidi na zaidi

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Amani, upendo na furaha iendelee kuwa nawe kiongozi wangu.
Japo tunapita katika changamoto za hapa na pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…