Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nahitaji kikao,kuna mbaba mmoja wa pwani anaitwa moud gulf,nimeona amemrubuni kwa ng'ombe 10 walioshiba.nsamaka anaolewa kwa mume wa pili tena[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Mkuu pole sana, unakaa na mtoto wa watu bila kumlipia mahari wakati unajua fika kuwa ngosha anahitaji ng'ombe. Tulia watu wabebe mzigo

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…