The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Raha ya chips mimba.
Kwakweli unakaa nyuma nyuma sana, nilikutafuta sana nikakukosaLbd weye ndiyo hunioni
Tatizo lake hana ng'ombe wa mahari, anapiga sound tu.Sasa na wewe una tatizo gani shemeji? Mkeo kuwa anachukuliwa mara kwa mara. Tatizo ni nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe changamka uzoe page 2 au 3 mwenyewe. Watu wapo ki-like, hawalembiOyaa mbona mnapost kama mnata sifa yani mtu ana chukua page yote yeye tuuh that not fair bhana
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
We bana, wasukuma hawataki binti yao aishi na bushoke.tulia aonje raha mtoto wa watuKufua,kupika,kupeleka watoto shule,kutumwa sokoni,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekukomesha
Taratibu shemeji, wazee wameshaelekezwa mahali zilipo ng'ombe za mahari waende wakachague wenyewe huko msalala KahamaHizo ng'ombe kampa nani? Mbona huku wanaukoo hatujaziona?