Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanamke mwema ni Hazina yenye Thaman isiyo Kadiriwa, Kwa Mali watoto, mke, mume, ni kutoka kwenye starehe za Hapa Duniani, Lakini starehe Bora ni Mwanamke mwema

Nafsi Huweza kutulia Hapo, na Humzoea Kwa sababu ya Mapenzi na Huruma Huwa nzuri, Kati ya mume na Mke

Katika mipango ya Allah alimuumba Adam (a. s) Ili awe Khalifa wake katika Dunia, Kisha Alimuumba Bi Hawa, kutokana na Adamu ili aweze kutulia kwake, na Akajaalia mapenzi na Huruma, na Akajaalia kila mmoja Kumpenda Mwezake Kuwa ndio maumbile

Msiwanyanyase Wanawake, msiwatese, msiwapige, msiwafanyie maovu yyte,... Msitumie Udhaifu wao kuwashusha Thamani

Mpende, mlinde, mthamini, Mueshimu na muoneshe kila aina ya mapenzi hata kama Hajatulia, atarudi tu kuwa mwanamke mwema
Ujumbe muhimu
 
Muhimu Sana
 
Sahihi kabisa
 
SUBRA NI AMALI ZOTE ZINAZOFANYWA WAKATI WA KUNGOJEA
NI SUBRA TU TIBA SAHIH I YA NAFSI ZETU ZILIZOPOTEZA MUELEKEO,
NA NI MOLA WETU TU ALIE TAJIRI ASIE NA CHAWA WALA CHEMBE ZA UCHOYO
ATATUPA VILE ALIVOTUKADIRIA KATIKA HESABU YA MAISHA YETU
KUTUSUBIRISHA NI STAHILI YA VIKUBWA, NJE YA UWEZO WETU NA HIVI VIDOGO TUNAVYOMUOMBA
SUBIRA NDIO PONYO LA KILA AKILI ZILIZOVURUGIKA NA NYOYO ZILIZOVUNJIKA
SUBRA NDIO RAFIKI MWEMA WA LIWAZO BORA KATIKA KILA NYAKATI MBAYA
NYUMA YA KILA TABASAMU IPO SIMULIZI YA SUBRA ILOSHINDWA KUELEZEKA
TUNATABASAMU. NA KUSUBIRI TU HATA KAMA NYOYO ZETU ZIMEBEBA MAUMIVU
WAKATI SAHIHI WA KUMUOMBA MUNGU NDO HUU

❤️❤️RAMADHAN KAREEM ❤️❤️,
🙏🙏🙏
 
🙏👍
 
Sawasawa
 
Back
Top Bottom