mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Sun day
Ni kweliLeo nakuletea orodha ya dawa asilia ambazo hutahitaji gharama au kama utahitaji gharama basi ni kidogo sana ili kunusuru afya yako
1.Mazoezi ni dawa
2.Kufunga ni dawa
3.Chakula asili ni dawa
4.Mboga majani na matunda ni dawa
5.Kupumzika na usingizi ni dawa