moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
🙏🙏Usiku mwema mliokuwa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini leo
🙏🙏Usiku mwema mliokuwa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini leo
🙏🙏Usiku mwema mliokuwa shuleni leo
🙏🙏Usiku mwema mliokuwa safarini leo
Usiku mwema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga, kesho nayo siku
🙏🙏Usiku mwema wadau wa daladala bajaji bodaboda na kwenye vivuko..