moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
๐๐Usiku mwema mliokuwa sokoni dukani saluni gengeni na hotelini leo
๐๐Usiku mwema mliokuwa shuleni leo
๐๐Usiku mwema mliokuwa safarini leo
Usiku mwema wakulima wafugaji wavuvi na wamachinga, kesho nayo siku
๐๐Usiku mwema wadau wa daladala bajaji bodaboda na kwenye vivuko..