Si kila Giza Lililo mbele yetu linaashiria uelekeo wa mapambazuko,GIZA linaweza kutumika kama kiashiria cha UKOMO/MWISHO. Hata kwenye matatizo yaweza kuwa hivyo,si kila tatizo linatupeleka kwenye suluhu,matatizo mengine yanaweza kutupeleka kwenye ukomo wa uhai,NI KHERI KUYAACHA