myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
NakubaliUjanja wa kuiga ni ule unaokutaka utoke ulipo nakupiga hatua moja au mbili kwenda mbele, ule unakuonesha kwamba bado ukonakazi ya kufanya na deni la kulipa ni ule ujanja unaokutaka uwe zaidi ya ulivyo
1✔️✔️Why (do) you lost your confidence
You're beautiful, it don't make sense to me
It's been a while since I've seen you laugh
Last time you face it for a photograph
And when there's no one to hold ya
And you're all out of hope
Just remember what I told ya
Just step out to your balcony and
Kujitafuta...Kipaji au uwezo ni vitu unaweza kuzaliwa navyo lakini fursa nikitu cha kutafuta, hivyo fursa nimali ya mtafutaji yeyote, tuendelee kujitafuta
✔️✔️✔️Starlight
Even though I'm not with you tonight
Just let them light up your room
You know that they're shining for you
We're looking out on the same sky starlight
✔️✔️Starlight
Even though I'm not with you tonight
Just let them light up your room
You know that they're shining for you
We're looking out on the same sky starlight
SawasawaKama kwenu hakuna pakuanzia basi jua wewe ndio mwanzo, hauna wa kukushika mkono jua ww ndio unatakiwa uje kuwashika wengine mkono, kama hakuna njia mjenzi ni wewe ijenge, hiyo inaitwa vita ya kutoka sifuri kwenda moja ni vita ngumu sana lakini inawezekana pigana
SawaWatu ambao ni matokeo ya matatizo na vikwazo walivyo kutana navyo katika safari ya maisha yao, hutaweza kuwa kikwazo au tatizo kwao labda kwa muda tu lakini watakutatua
👍👍Sunday football I got booed off the pitch
Some people gamble as a way to get rich
I got to find a better way to invest in zeroes oh
Cigarettes may damage your wealth
I'd rather save it all to spend on myself
I got a letter of eviction and I'm no hero