myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
🙏🙏🙏Kwenye msiba mkubwa wa familia wakati wengine wanalia na kuchanganyikiwa yuko yule anayesimama kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Sisi wote tunaweza kuwa na nguvu ya huyu mtu katika yote magumu ya maisha yetu bado tukasimama na kuweka mambo sawa kwa jina la mwenyezi Mungu