myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πππKwenye msiba mkubwa wa familia wakati wengine wanalia na kuchanganyikiwa yuko yule anayesimama kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa. Sisi wote tunaweza kuwa na nguvu ya huyu mtu katika yote magumu ya maisha yetu bado tukasimama na kuweka mambo sawa kwa jina la mwenyezi Mungu
3 words...Just three words
SawasawaKama kwenu hakuna pakuanzia basi jua wewe ndio mwanzo, hauna wa kukushika mkono jua ww ndio unatakiwa uje kuwashika wengine mkono, kama hakuna njia mjenzi ni wewe ijenge, hiyo inaitwa vita ya kutoka sifuri kwenda moja ni vita ngumu sana lakini inawezekana pigana
βοΈβοΈCan't think straight I can't go on
It's hit me hard but I can't give up
Speak to me 'cause it's killing me
SahihiUkihitajika huwezi kuonekana msumbufu, jijengee sifa za kuhitajika
βοΈβοΈWhen it comes down
To the wire
One spark can start a fire
So come on now
Let it all out
Before my heart goes tick tick boom
SawasawaMambo mengi na watu wengi sio vile wanavyo onekana, bali ni vile visivyo onekana, kama hujaweka nguvu kufahamu mtu au vitu, basi haufahamu chochote, kukubali vitu kwa uono wa juu ni upofu, na shotikati na msingi wa ufahamu mbaya β~ben Horowitz
Pigana....Kama kwenu hakuna pakuanzia basi jua wewe ndio mwanzo, hauna wa kukushika mkono jua ww ndio unatakiwa uje kuwashika wengine mkono, kama hakuna njia mjenzi ni wewe ijenge, hiyo inaitwa vita ya kutoka sifuri kwenda moja ni vita ngumu sana lakini inawezekana pigana
SawaUkiona umepatwa tatizo au changamoto yoyote usibaki nayo moyoni, tafuta mtu unayemwona anafaa umwelezea ili akusaidie na si kila mtu unapaswa kumwelezea matatizo yako au changamoto maana wengi watakuvunja moyo
NakubaliTunaweza kuwa zaidi ya tulivyo, tunaweza fika zaidi ya tulipo, tunaweza pata zaidi na zaidi, kwasababu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu na Mungu wetu niwamaajabu- ndani yetu upo uwezo zaidi ya tunavyo jichukulia
NakubaliMambo mengi na watu wengi sio vile wanavyo onekana, bali ni vile visivyo onekana, kama hujaweka nguvu kufahamu mtu au vitu, basi haufahamu chochote, kukubali vitu kwa uono wa juu ni upofu, na shotikati na msingi wa ufahamu mbaya β~ben Horowitz