myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
πππMambo mengi na watu wengi sio vile wanavyo onekana, bali ni vile visivyo onekana, kama hujaweka nguvu kufahamu mtu au vitu, basi haufahamu chochote, kukubali vitu kwa uono wa juu ni upofu, na shotikati na msingi wa ufahamu mbaya β~ben Horowitz
Watakuvunja moyo....Ukiona umepatwa tatizo au changamoto yoyote usibaki nayo moyoni, tafuta mtu unayemwona anafaa umwelezea ili akusaidie na si kila mtu unapaswa kumwelezea matatizo yako au changamoto maana wengi watakuvunja moyo
Kwelikuahirisha matatizo si kutatua tatizo
Sawakuahirisha matatizo si kutatua tatizo
Usalama...Kataa matatizo ya kusababishiwa kwa matakwa ya mtu kwa udhaifu wako au nafasi zetu kwao. Kimbia maana wakati mwingine kukimbia tatizo si udhaifu ila ni hekima iliyokomaa inayoleta usalama wako
Kabisa..Si kila Giza Lililo mbele yetu linaashiria uelekeo wa mapambazuko,GIZA linaweza kutumika kama kiashiria cha UKOMO/MWISHO. Hata kwenye matatizo yaweza kuwa hivyo,si kila tatizo linatupeleka kwenye suluhu,matatizo mengine yanaweza kutupeleka kwenye ukomo wa uhai,NI KHERI KUYAACHA
Kheri kuyaachaβοΈβοΈSi kila Giza Lililo mbele yetu linaashiria uelekeo wa mapambazuko,GIZA linaweza kutumika kama kiashiria cha UKOMO/MWISHO. Hata kwenye matatizo yaweza kuwa hivyo,si kila tatizo linatupeleka kwenye suluhu,matatizo mengine yanaweza kutupeleka kwenye ukomo wa uhai,NI KHERI KUYAACHA
Nakubali hiliSi kila Giza Lililo mbele yetu linaashiria uelekeo wa mapambazuko,GIZA linaweza kutumika kama kiashiria cha UKOMO/MWISHO. Hata kwenye matatizo yaweza kuwa hivyo,si kila tatizo linatupeleka kwenye suluhu,matatizo mengine yanaweza kutupeleka kwenye ukomo wa uhai,NI KHERI KUYAACHA
NakubaliUkiona umepatwa tatizo au changamoto yoyote usibaki nayo moyoni, tafuta mtu unayemwona anafaa umwelezea ili akusaidie na si kila mtu unapaswa kumwelezea matatizo yako au changamoto maana wengi watakuvunja moyo
SahihiChangamsha Akili yako kwa kutatua matatizo yako, si kila tatizo lazima uombe msaada.
Daraja.....Unapopitia kwenye magumu usisimame huko, Endelea kusonga mbele kamwe kamwe kamwe USIKATE TAMAA. Kamugisha aliwahi kusema Matatizo si tatizo, Matatizo ni daraja la kuvukia.
Ujumbe βοΈChangamsha Akili yako kwa kutatua matatizo yako, si kila tatizo lazima uombe msaada.
Nakubali hiliMatatizo huwa yapo kichwani na si kwenye tatizo badilisha mtazamo
ππMATATIZO Si Tatizo, Matatizo Ni Daraja Pambana Uvuke Uendelee Na Safari
πππSi kila tatizo linalokupata ni shari. Baadhi ya matatizo yanakuja kukusafishia njia.
Kupata maarifa πKuna Waandishi huwa wanaandika vitabu ambavyo ni vya 'kutatua tatizo'.Vitabu hivi huwa vinawanufaisha zaidi watunzi wenyewe na si wasomaji.Kwasababu watu wengi siku hizi hutafuta zaidi kutatuliwa matatizo yao kuliko kupata maarifa.
SawasawaKwenye maisha usilikimbie tatizo Bali likabili tatizo na ulitatue, kuwa mkomavu si kuogopa na kulikimbia tatizo Matatizo mengine ukiyakwepa Leo bila kuyatatua yanaja angamiza watoto wako na wajukuu zako*
SahihiKwenye maisha usilikimbie tatizo Bali likabili tatizo na ulitatue, kuwa mkomavu si kuogopa na kulikimbia tatizo Matatizo mengine ukiyakwepa Leo bila kuyatatua yanaja angamiza watoto wako na wajukuu zako*
βοΈβοΈWakati mwingine tatizo huwa si yale tunayofikiri kuwa ni chanzo cha matatizo kwa sababu yamekosekana katika maisha yetu ila tatizo ni pale tunaposhindwa kushughulika vizuri na matatizo yaliyo ndani ya uwezo wetu
πβοΈπWakati mwingine tatizo huwa si yale tunayofikiri kuwa ni chanzo cha matatizo kwa sababu yamekosekana katika maisha yetu ila tatizo ni pale tunaposhindwa kushughulika vizuri na matatizo yaliyo ndani ya uwezo wetu