myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️👍Si kila tatizo linakuja kuvuruga maisha yako ,matatizo mengine yanakuja ili kukuweka sawa wewe na maisha yako .. Baki na Yesu ushindi wako upo ukiwa ndani yake
🙏🙏Si kila tatizo linakuja kuvuruga maisha yako ,matatizo mengine yanakuja ili kukuweka sawa wewe na maisha yako .. Baki na Yesu ushindi wako upo ukiwa ndani yake
Ujumbe wa nguvuTatizo lolote katika maisha huondoka kwa kutatuliwa na si kwa kukaa nalo na kudhani litayeyuka lenyewe ni kujidanganya
NakubaliKila tatizo tunalolitatua linatupa fursa ya kutatua yale mengine yajayo mbele yetu. Kuishi ni kutatua matatizo si kuyamaliza." ~Togolani Mavura.
InawezekanaSi kila tatizo lazima pambane nalo mengine yakimbie matatizo hayaishi yatakuua
Kwenye hili nakubaliSi kila tatizo lazima pambane nalo mengine yakimbie matatizo hayaishi yatakuua
Ni kusikiliza....ukiwa unahadithiwa kitu au tatizo au jambo tu na mtu ni vyema sana kuskiliza, si vyema kulifanya tukio unaloambiwa basi na wewe uwe na lako kubwa kuliko la anayekuambia... Wakati mwengine mtu anahitaji sikio lako tu na si kusikia matatizo mengine. SIKILIZA TU!!
AiseeTatizo lolote katika maisha huondoka kwa kutatuliwa na si kwa kukaa nalo na kudhani litayeyuka lenyewe ni kujidanganya
✔️👍✔️Tatizo likiwa kubwa na likishindikana likimbie, yapo matatizo mengine njia pekee ya kuyatatua ni kuyakimbia si kukabiliana nayo.
Sawasawaukiwa unahadithiwa kitu au tatizo au jambo tu na mtu ni vyema sana kuskiliza, si vyema kulifanya tukio unaloambiwa basi na wewe uwe na lako kubwa kuliko la anayekuambia... Wakati mwengine mtu anahitaji sikio lako tu na si kusikia matatizo mengine. SIKILIZA TU!!
Sahihiukiwa unahadithiwa kitu au tatizo au jambo tu na mtu ni vyema sana kuskiliza, si vyema kulifanya tukio unaloambiwa basi na wewe uwe na lako kubwa kuliko la anayekuambia... Wakati mwengine mtu anahitaji sikio lako tu na si kusikia matatizo mengine. SIKILIZA TU!!
Safiiiii sana
Mh!!! Very risk...