inapotokea umemwamini sana mtu huku tumaini lako likiwa kwake TU kutokana na ahadi ambazo umekuwa ukipatiwa na mtu huyo katika kukuwezesha kupiga hatua moja mbele, baadae unakuja kugundua kuwa nae ameshakuacha basi endelea kupambana na hali yako!!!!

mambo makubwa maishani huwa yanahitaji UVUMILIVU MKUBWA sana, lakini kikubwa zaidi ni kutokufanya kwa uharaka mambo yenye kuwekeza bila kuwa na UJUZI ama MAARIFA ya kutosha kwenye kile ulichoamua KUWEKEZA!!!!

hebu jiulize kuna umuhimu wowote wa wewe kusema hicho au unataka kufurahisha watu tu? Kuna faida yoyote unayoitengeneza kwa wanaokusikiliza au kusoma? Kuna Kitu wanasaidika nacho wakikisikia? Kuna somo wanajifunza? Ama unasema tu ili uonekane UNAKIJUA?